Msafara
wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa, ukitoka Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga na kuelekea kwenye
Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe,
Sumbawanja Mjini, Sepremba 2, 2015.






Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Ikuo
Malila, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais hiyo,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, Sepremba 2,
2015.





No comments:
Post a Comment