Tume ya Uchaguzi Zanzibar imeufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar kutokana na kuwa na dosari nyingi ikiwemo uchaguzi kutokuwa huru na wahaki
Mwenyekiti
wa ZEC amewaambia waandishi wa habari mchana huu kuwa
amechukua maamuzi hayo baada ya kujiridhisha kuwa uchaguzi
uligubikwa na dosari nyingi.
"Mimi nikiwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, nimeridhika kuwa Uchaguzi huu umegubikwa na makosa makubwa....
No comments:
Post a Comment