Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Sunday, 29 November 2015
Burudani ya Mnigeria Patoranking alivyoikamata stage Dar..(Picha)

Ni usiku wa Novemba 27, 2015 mashabiki wa muziki walipata burudani kali kutoka kwa msanii wa Nigeria, Patoranking aliyesindikizwa na Nahreel, Vanessa Mdee, Ben Pol, Aika na wengineo
Nimekusogezea hizi picha kutoka kwenye show hiyo iliyofanyika karibu na ufukwe wa bahari ya hindi ‘ Escape One’ Dar es Salaam.
Subscribe to:
Posts (Atom)