Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Wednesday, 11 November 2015

Pichaza Mapokezi ya Mbwana Samatta Uwanja wa Ndege Dar


Headlines za Mbwana Samatta kutwaa kiatu cha dhahabu kwa kuibuka mfungaji bora wa michuano ya klabu Bingwa barani Afrika bado zinazidi kuchukua nafasi, baada ya November 11 kurejea Dar Es Salaam akitokea Lubumbashi Congo
 ambako ndio makao makuu ya klabu yake ya TP Mazembe ambayo Jumapili ya November 8 ilitwaa taji la klabu Bingwa Afrika kwa kuifunga klabu USM Alger ya Algeria kwa jumla ya goli 4-1.
Samatta 3
Hizi ni pichaz za mapokezi ya Mbwana Samatta aliyoyapa kutoka kwa familia yake baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Dar Es Salaam, baada ya kurudi Tanzania Samatta atajiunga na kikosi cha  Taifa Starsambacho kinarejea leo November 11 saa 12 jioni kutokea Afrika Kusini kilipokuwa kimeweka kambi ya maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018Urusi. Taifa Stars itacheza na Algeria Jumamosi ya November 14 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
Samatta 7
Samatta 9
Samatta 10
Samatta 10
Samatta 12
Samatta-15
Mbwana Samatta akiwa na ndugu zake waliokwenda kumpokea uwanja wa ndege Dar Es Salaam

No comments:

Post a Comment