Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Sunday, 29 November 2015

Burudani ya Mnigeria Patoranking alivyoikamata stage Dar..(Picha)

Ni usiku wa Novemba 27, 2015 mashabiki wa muziki walipata burudani kali kutoka kwa msanii wa Nigeria, Patoranking aliyesindikizwa na Nahreel, Vanessa Mdee, Ben Pol, Aika na wengineo
Nimekusogezea hizi picha kutoka kwenye show hiyo iliyofanyika karibu na ufukwe wa bahari ya hindi ‘ Escape One’ Dar es Salaam.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
 .
.
.
.
.
.Chibwa akiwa jukwaani akitoa burudani ya nguvu
.
.Babu Tale akiwa na rafiki
.
.Msanii kutoka Nigeria Patoranking akiwa Backstage kabla ya kupanda jukwaani
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Msanii kutoka Nigeria, Patoranking akiwa jukwaani.
.
.
.
.Aika & Nahreel wakimba na Patoranking jukwaani
.
.
.
.
.
.
DSC_2038
.
.Vanessa Mdee akishea jukwaa na Patoranking kwenye kutoa burudani
.

No comments:

Post a Comment