Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Wednesday, 11 November 2015

Q CHILLAH JINA LANGU LINANIFANYA NIJITUME



Mkongwe wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya For You, Abubakari Katwila ‘Q Chillah’.
Mkongwe wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya For You, Abubakari Katwila ‘Q Chillah’ amefunguka kuwa ukubwa wa jina lake ndiyo umemrudisha kwenye gemu kwa kasi na kumfanya ajitume sana kufanya muziki wake

 Akizungumza na paparazi wetu, Q Chillah alisema kuwa katika kipindi alichokuwa kimya aligundua kuwa watu wengi walikuwa wakimiss kazi zake jambo ambalo lilimfanya agundue ukubwa wa jina lake hivyo kuamua kupambana kwenye muziki ili arudishe heshima aliyojitengenezea siku za nyuma.
“Niligundua jina nililojitengenezea kwenye muziki ni kubwa mno hivyo kwa njia yoyote ilikuwa lazima nirudi na nifanye kazi kubwa kama nilivyozoeleka. Kwa sasa nipo kikazi zaidi ,” alisema Q Chillah

No comments:

Post a Comment