
Baada ya kushinda shindano kubwa la kusaka vipaji, Nalimi Mayunga aliondoka na mkataba wa kurekodi na Universal Studio wenye thamani ya dola 500,000 , pesa hiyo imetumika katika kurekodi audio & video na mwimbaji Akon huko Los Angeles Marekani.
Mayunga amesharudi Tanzania baada ya
kumaliza kazi yake ya kurekodi audio na video akiwa na Akon, sasa stori
zinazochukua headlines ni kwamba Mayunga ameshoot video na mrembo aliyewahi kuonekana kwenye video ya Big Sean ft Chris Brown, Ty Dolla Sign Play No Games
No comments:
Post a Comment