
Kumekuwa na ripoti mfululizo kuhusu ishu
ya hali mbaya ya hewa iliyokumba nchi ya China ikafikia hatua mpaka
baadhi ya viwanda vikalazimika kufungwa kwa muda.

December 14 2015 nilikusogezea ripoti ya
mgahawa mmoja China kuwatoza wateja wote kama Yuan 1 ambazo ni kama
Tshs. 333 hivi kwa ajili ya kupata hewa safi ndani ya mgahawa huo, kama
hukuipata unaweza kuicheki ukibonyeza hapa >>> Mgahawani
Leo nimeinasa ripoti CNN kwamba kuna kampuni moja ya Vitality Air ya Canada imeamua kutengeneza chupa zilizojazwa hewa safi ambazo zinasafirishwa na kwenda kuuzwa China.
Gharama ya chupa au kopo moja la hewa ni kati ya dola 14 mpaka 20 ikitegemeana na ujazo wa kopo lenyewe !!
No comments:
Post a Comment