Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Tuesday, 15 December 2015

Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond Platnumz….(+Picha)

Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Afrika Kusini ambapo kundi la Mafikizolo wameingia location kushoot video mpya ya single yao waliyomshirikisha Diamond Platnumz.
Safari hii kundi hilo limeamua kushoot pia na supermodel kutokea Tanzania Millen Magese ambaye ataonekana katika video hiyo mpya iliyotayarishwa huko Johannesburg, Afrika Kusini.
Hizi ni baadhi ya picha zikionesha Mafikizolo, Diamond Platnumz na Supermodel Millen Magese wakiwa katika maandalizi ya video hiyo mpya iliyopewa jina la Colour of Africa.
MAGESEEEEE 34444
.
.
.
.Theo wa mafikizolo akiwa katika uandaaji wa video yao mpya waliyomshirikisha Diamond Platnumz
.
.Dj Maphorisa akiwa na warembo katika uandaaji wa video hiyo mpya
MAGESEEEEE
.Kulia ni Millen Magese akiwa na Nhlanhla wa mafikizolo & Diamond Platnumz
MAGESEEEEE111
.
.
.
.Supermodel Millen Magese akiwa na mrembo anayefahamika kwa jina la Babalwa Mneno
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment