Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Wednesday, 16 December 2015

Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…

Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapo Afrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu  wengi kwa kucheza muziki wa aina tofauti akiwa kama DJ.
2013333
Mtoto huyo alianza kuchukua headlines kabla ya kushinda kwenye shindano la S.A Got Talent 2015 baada ya kuwashinda washiriki sita kwenye fainali zilizofanyika Nov 8 Johannesburg Afika Kusini.
Desktop 2233333DJEEEE
.
Unaambiwa pia mtoto huyo kwasasa anapata nafasi ya kuucheza muziki kama  DJ  kwenye radio station mbalimbali  za Afrika Kusini ikiwemo Metro FM, 5 FM, Y FM na nyinginezo.bonyeza link hii kuona video
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=iWXBdHgnFQs

No comments:

Post a Comment