Rais Magufuli alikuwa na watu wa Feri kuhakikisha lile eneo la soko pale Feri panatakata, halafu Mama Samia Suluhu, DC Paul Makonda na wasanii wa Bongo Movie waliikamata mitaa ya Kinondoni, mzigo mwingine huu hapa wa Team Clouds FM na wasanii wa Bongo Fleva walivyowajibika kusafisha mitaa ya Tandale.
Kazi haikuwa ndogo, kuanzia sokoni, majumbani, mitaroni na kona nyingine za Tandale usafi umehusika.

Team ya Clouds FM, Mbwiga mwenyewe, Musa Hussein na Da-Hu

Kila mtu alianza kwa kukamata fagio ili twende sawa !!

Ummy Kitwana na Mbwiga

Husna Abdul wa Leo Tena akifanya Interview na msanii Tunda Man wa Tip Top connection

Dj Bullah, Jose Mara, Mbwiga na Mussa Hussein

Watu wa nguvu kazini

Watangazaji
Perfect Crispin (mwenye kofia ya bluu) Dee Andy kutoka XXL ya CloudsFM,
Dj Bullah, Mahija Zayumba wa CloudsTV na watu wa nguvu wengine kwenye
usafi soko la Tandale

Msanii Tunda Man kwenye usafi

Mrembo Tira wa CloudsFM na watu wengine wa nguvu kwenye kazi ya usafi

Mwenye miwani ni Emmanuel Likuda wa Jahazi la CloudsFM
No comments:
Post a Comment