Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Thursday, 3 December 2015

Pichaz 25 za Birthday Party ya Simon Msuva wa Yanga na Dumy Utamu dancer wa Diamond Platnumz


December 3 ilikuwa ni siku muhimu sana kwa Simon Msuva winga mshambuliaji wa Yangana timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars pamoja na Dumy Utamu mkali wa kudance kutoka familia ya Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Diamond Platnumz, wote hawa wanakumbuka siku yao ya kuzaliwa kwa pamoja, kwa kuwa ni marafiki basi wakaamua usiku wa December 3 kufanya Birthday Party yao kwa pamoja na kualika watu kadhaa.
DSC_0213
Kabla ya keki kukatwa burudani ya muziki ilianza
DSC_0218
Birthday Boy Simon Msuva akiongea na waalikwa kabla ya kukata keki
DSC_0220
Ikafika zamu ya Dumy Utamu kuongea na waalikwa kabla ya kukata keki
DSC_0224
Mdogo wake Simon Msuva ambaye anaitwa James Msuva akiwa na shemeji yakeMunira.
DSC_0227
Baadhi ya jamaa wa karibu wa Msuva na Dumy
DSC_0236
Mtangazaji wa redio Asha Manga akiwa pamoja na member wa Makomando Muki
DSC_0256
Fred kutoka kundi la Makomando alisimamia zoezi la kufungua champaign
DSC_0259
Champaign ikipita kwa kila mtu ila ilianza kwa Birthday Boy Msuva
DSC_0271
Simon Msuva na jamaa wanayefanana nae ila sio ndugu anaitwa Shabani Juma
DSC_0277
Kutoka kushoto ni shemeji yake Msuva, dada yake Msuva ambaye anaitwa Mary Msuvapamoja na Shabani Juma
DSC_0299
Zoezi la kumwagiwa maji likaanza Dumy akakimbia na kumuacha Msuva akiogeshwa.
DSC_0311
DSC_0315
Muki na Msuva wakicheza muziki kidogo
DSC_0331
Simon Msuva akiwa na dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo ambaye alikuja kushow love na Msuva na Dumy pamoja na jamaa akitoa ushirikiano katika picha.
DSC_0344
Kutoka kushoto ni MuniraMary Msuva na rafiki wa Msuva
DSC_0361
DSC_0366
Warembo pia walikuwepo kushow love na Msuva
DSC_0380
Mary Msuva alikuwa wa kwanza kula keki kwa upande wa Simon Msuva
DSC_0384
Birthday Boys wakilishana keki
DSC_0385
Birthday Boys wakilishana keki
DSC_0386
Simon Msuva akimlisha keki mdogo wake James Msuva ambaye nae yupo Yanga.
DSC_0394
Ikafika time ya Mose Iyobo kupata kipande cha keki
DSC_0412
Simon Msuva na Makomando
DSC_0439
Simon Msuva na mchezaji mwenzake wa Yanga na timu ya taifa Juma Abdul
DSC_0444
Mrembo katika picha ya pamoja na Simon Msuva

No comments:

Post a Comment