Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Tangaza nasi DvJGaby.Blogspot,com

Monday, 14 December 2015

Ripoti kutoka Arusha Mjini na matokeo ya Ubunge yalivyosomeka leo..

Uchaguzi wa Mbunge jimbo la ARUSHA MJINI umefanyika jana December 13 2015, ambapo vyama vitano vya siasa vilisimamisha wagombea wa Ubunge Jimbo hilo.
Wagombea waliopewa nafasi kubwa ya ushindi kwenye Ubunge huo ni Godbless Lema wa CHADEMA na Philemon Mollel wa CCM.
LEMA II
Matokeo kutoka Arusha Mjini yanasomeka hivi:
1: Watu waliopiga kura >> 104,353
2: Kura za Godbless Lema (CHADEMA) >> 68,484
3: Kura za Philemon Mollel (CCM) >>> 35,907

No comments:

Post a Comment