
Kama ulikuwa umeshakata tamaa kuhusiana na collabo hiyo ya muda mrefu bila kusikika, basi stori ninayotaka kushea na wewe ni kwamba leo ndio wanafanya rasmi video ya wimbo huo mpya huko Afrika Kusini.
Msanii Theo ambaye ni mmoja wa memba wa kundi hilo aliwataarifu mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema leo ndio siku ambayo watashoot video ya collabo yao waliyoifanya na Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment