Usiku Dec 8 wakazi wa
Dar es Salaam walipata burudani kali kutoka kwa mwimbaji wa Congo DRC
Koffi Olomide kwenye show ya Selfie 16 na kusherehekea kutimiza miaka
16 ya Clouds iliyofanyika Escape One Mikocheni na hizi ni baadhi tu ya
picha kutoka eneo hilo la tukio.

.

.

.

.

.Meneja wa vipindi vya Clouds FM Sebastian Maganga

Watu wa nguvu kutoka bongo movie pia walikuwepo wakiongozwa na Mtitu.

.

Mwimbaji wa bongofleva Baraka De Prince kwenye redcarpet

Mwimbaji Christian Bella akichukua selfie na watu wa nguvu.

.

.

Bendi ya mapacha watatu kwenye stage.

Jose Mara kutoka Mapacha Watatu band

.

Khalid chokoraa wa Mapacha Watatu band

.

.

.

.

Mwimbaji Rubby kwenye stage.

Mwimbaji Christian Bella

.

.

Antonio Nugaz wa CloudsTV kwenye selfie ya 16 kwenye red carpet

Watu wa nguvu

.

.

.

Team Clouds kwenye area

.

Koffi Olomide na Cindy kazini

.

.

.

.

.

.

.

Band yenyewe timu ya ushindi ya Koffi Olomide kwenye stage na hit single ya ‘selfie’

.

.

.

No comments:
Post a Comment